Top Tweets for #hatiav
Mwamba wa nyenzo wa katikati ulipoondoka, ilimaanisha ni muda wa safina kudondoka,
Hazikusikika sifa zake njema machozi hayakusafisha jina lake tena,
Haiba alizokuwa nazo hazikuvutia kamwe
Msongo nao wa mawazo ukamvamia mfalme.
#HatiaV
@dizastavina
#HatiaV ya @dizastavina
Wimbo unaanza kuadithia jinsi gani baba alijitoa sadaka ya vitu vingi kuhusu familia yake hii yote n kuonesha kuwa baba ana upendo mkubwa kwenye familia yake na anajitahidi kuwa strong ๐ช ata ikitokea kuna matatizo yanaikumba familia.
๐ ๐
Thread

@IamMasaii @dizastavina ZAIDI YA NAKALA ZILIZOANDIKWA NA FEMINIST, PESA ZILIMUISHIA MTAANI ALIFUGA ENEMIES, MAGAZETI HAYAKUANDIKWA ALIVYOKUWA HERO
YALIANDIKA MATUSI YALIYOMZIDI KILO.
DZSTVN #AFF #HATIAV
@IamMasaii @dizastavina Hakukuwa na vikundi vya wanaume kumtetea mdingi kusema alipitiwa na pepo la uzinzi.. #HatiaV
The storyline, progression, plot turns, imagery, language use, choice of words, content presentation, character development, finishing.. Best to ever do it.
#hatiaV https://t.co/jmKId3Jsbu
@WanaumeConnect @dizastavina @Afyayaakili @Sirizaplayboy @ommyfitness @PanAuthentik Hii verse ya mwisho inachoma sana... #HatiaV
@PanAuthentik @dizastavina #HatiaV...! Mshua anazingua kidogo kisha Bimkubwa anashikwa maskio na Marafiki+Ndugu kutaka Taraka ili waachane kisha wagawane Mali...! Kweli ikawa hivo, ila kilichofata ni Majanga
Waongofleva: DV achange Flow.
Me: Nyimbo za Dizasta maudhui yake hayahitaji mbwembwe za flow wala Beat,yanataka ushairi. Unataka uskie scrrr scrrr kwenye #HatiaV ?,kifupi hapo mnasema achange Maudhui ili aimbe ujinga mje apa mseme mwana sio hip hop, analegeza kama weusi

@muzikinow Bahari Inapochafuka Huwa inapima ubora wa Nahodha/
Kama ataogopa Kufa ama ataendelea Kukiongoza chombo....../
#HatiaV by @dizastavina
Gusa #Link Upate madini
#HatiaV Kutoka kwa The Black Maradona @dizastavina
Youtube - https://t.co/CIaKThX3hb

@dizastavina Bahari Ikichafuka Inapima Ubora wa Nahodha/
Kama ataendelea kuiongoza Meli au ataogopa Kufa kweli..../
#Bars ๐๐๐๐๐๐ #HatiaV @dizastavina @zeelakazichafu itafute uisikilize hii hutojutia kamwe
@McinikaWaLamar @Izzo_bizness @dizastavina sikiliza #hatiav utaona shughuli ulivyokuwa nzito a real story teller
Bahari ikichafuka inampima nahodha wa meli, Kama ataogopa kufa au ataongoza kweli.. @dizastavina #hatiaV

Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
240.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.7M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.4M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.3M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.1M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers












