Wakati CHADEMA tunaambiwa haturuhusiwi kufanya Mikutano ya hadhara, wauaji wanaendelea kufanya Mikutano ya hadhara kwa kujificha kwenye kichaka cha ziara za ki Serikali haram.
#77Tunatoka ili tuikomboe nchi yetu kutoka kwenye mikono ya hawa wauaji ambao wanadhan hii nchi ni mali yao binafsi.
Hawa polisi wamezuia MIKUTANO huku TANGANYIKA ila tunajua hawana hayo mamlaka Kule ZANZIBER sasa huu ndio muda pekee sahihi wakuenda kueneza CHAMA kule ZANZIBER
#Tanzania suspends all political rallies, reversing @SuluhuSamia's initial reforms. This follows the rigged 2025 'election' when hundreds were shot dead with impunity in a post-poll crackdown. The country's already scant democratic space shrinks further.
https://t.co/nLgKUf6P4s
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems
Umeshwahi kujiuliza kwa kina ni kwa nini viongozi wa CHADEMA hawaruhusiwi kwenda magereza kumsalimia Mkti Lissu ? Hofu na kuuziana uoga imekuwa biashara kubwa sana Nchini !! Bungeni kuna pandisha PRESHA mtaani kuna TINGISHA. Mkti Lissu sio threat kwa usalama wa Nchi bali ni ufunguo wa haki , amani na utulivu Nchini.
Just hours before today’s planned @ChademaTZ2 rally at Wananchi Square, the police have officially banned it, citing the samia suluhu hassan regime’s blanket ban on all political rallies.
Same repressive playbook as Magufuli. Peaceful assembly crushed overnight.
Tanzania’s democracy is being strangled in broad daylight.
International partners and friends: words are not enough. Hold the samia regime accountable.
Please stand with the people of Tanzania.
@SenatorShaheen@SFRCdems@SenTedCruz@RepBrianMast@HouseForeignGOP@HouseForeign@EUinTZ@EP_HumanRights@EP_ForeignAff@SenatorRisch@davidmcallister
#Tanzania #HumanRights #Democracy
#Tanzania #HumanRights #Democracy #RuleOfLaw
Things are getting worse in Tanzania.
@Europarl_EN@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SecRubio
The government has now banned political rallies after the main opposition party drew massive crowds across the country.
When a government responds to overwhelming public support for the opposition by banning political rallies instead of respecting the democratic process, it should alarm everyone.
Alafu wanawanyooshea vidole wananchi kuwa wanataka kuharibu amani na wao watalinda amani…..
Waharibifu wa amani wanadai wao ndio wanalinda amani…..
If you’re in the DMV area, let’s stand with our Kenyan friends at today’s Baraza la Wananchi in Washington, DC.
Topic: Corruption, tribalism, and the 2027 elections in Kenya.
Let’s show up in solidarity and support an open discussion on democracy, accountability, and good governance.
🔥🔥7/7 sasa inafuatiliwa na dunia nzima‼️
Sijui mmeona headline za kimataifa wameunganisha ban ya mikutano na maandamano ya Sabasaba aka 77 ✊🏽
Sasa tukiwaambia dunia macho yote yako Tanzania niaminini! Hawataweza kufanya walichofanya na tunatoa taarifa ulimwenguni kila siku! Ndiyo maana wanahaha kila kona ila bado tunawaanika!
Sikilizeni nyie madhulmat hii vita mmeshashindwa
You are postponing the inevitable
Mi nawaeleza hamtaki kukubali - haya!
#Tutaelewana
#Maandamano77 #SamiaMustGo #JusticeForMO29 #FreeTunduLissu
#Tanzania It is official! Political rallies have been banned by decree from the Minister and the Constitutiom has been suspended by the illegitimate government of Samia Suluhu!
FYI Any investment can face similar arbitrary actiom in such a lawless country! Zero regard to rule of law
Cc. @SenateForeign@SFRCdems@SenTedCruz@SenatorShaheen@EU_Commission@Europarl_EN@FCDOGovUK@UN_HRC@IMFAfrica@WorldBankAfrica
Ina maana kwa sasa tuko chini ya utawala wa kiimla na Katiba imewekwa kando? Maana Waziri hana mamlaka hii so amejitwalia madaraka na hakuna utawala wa sheria?! Ngoja tuendelee hivihivi hadi tutaelewana mbona?
#TutaelewanaTu
Roho imeniuma, nimebaki nalia tu….
Hapana aiseee…, @SuluhuSamia@jmkikwete@ccm_tanzania Wapeni wamama miili ya watoto wao wazike. Mlificha na kupoteza miili mkidhani mnaficha ushahidi ila wale marehemu sio mbwa, wana familia zao, wana mama zao, ndio kama hivi mama zao wanalilia miili yao.
Mtalipia damu mlizomwaga October 29….
Hakuna cha kusini wala Kaskazini tena, nchi nzima iko nyuma ya Chadema. Hiki ndio chama kikuu cha siasa Tanzania kwa sasa.
Baada ya October 29 hakuna Mtanzania anataka kusikia kuhusu CCM tena. October 29 CCM wali prove kuwa hawajali kuhusu uhai wa wananchi, wanachojali ni kundi dogo ndani ya CCM kushikilia madaraka at any cost.