@fredyfuam Ili kosa liwe kosa ni lazima sheria zetu zilitambuwe sasa mfano kwa wewe hapa kosa la LISSU liko wapi ? Maana tokea kesi inaendeshwa Hakuna mahali amethibitika kuwa na kosa sababu hata uthibitisho mmoja wapo wa kosa lake kisheria haujaonekana wala kusikika haya tusaidie wewe
@Elsukay0 Kwani katiba hii ya sasa iliyopo Tanzania mwananchi anamiliki ardhi au anapangishwa ardhi kwa miaka kadhaa haya ni sawa katiba hii inaweza kuwa inazuia mashoga jee hao mashoga wapo hawapo punguza kujipa umuhimu kwenye mawazo ya watanzania milioni 64 wewe mpumbavu mmoja kenge wewe
@ChugiSuleiman@RickyJaduong86 Shida sio wewe shida ni jina lako suleiman πππππ fuatilia kina suleiman wote huwa ni mauza uza tu πππππππ hohe hahe
@Herculses Lema nendeni nae pole pole atasema kila kitu ujuwe hakuna kitu muhimu kama kutambuwa umuhimu wa uwepo wako hapa duniani ukishautambuwa huwo umuhimu kuna vitu havitakuwa njia moja na wewe hata kukukaribia tu havitokukaribia uongo usaliti na tamaa vitakaa mbali (LEMA) ana tamaa
@barakaeli_nnko@Sativa255 Wewe ni moja ya watanzania wenye uelewa mdogo kuliko uelewa wako mbowe alikuwa kiongozi wa chadema tena kwa miaka mingi sasa asizungumziwe kwa sababu hayupo kwa sasa wewe ni debe tu kama hupendi mbowe akisemwa nenda mahakamani
@Amidumtalii@Addy_Adams Yote tisa hadi kumi iwe wametokea life ya aina gani mzee huyo mwana kafanya jambo la kisenge yaani kaanza vita mapema sana wanawake huwa hawasahau na hawasamei huwa wanajifanya kama limepita hivi mzee kwa ground vita ni kubwa mungu awabariki tu lakini jamaa kafanya mistake
@notgen13@MachangePraygod@Sativa255 Mapungufu yako ili kukunyamazisha pindi yeye anapokosea ili usimuhumu wala kumwambia ukweli hivyo ni hivi hatukukatazi kumuunga mwanako mkono lakini mchizi tayari ameshaweka dosari taswira yake humu yeye mwenyewe na kujisafisha pia nijukumu lake mwenyewe
@notgen13@MachangePraygod@Sativa255 Ni kweli tulihadithiwa story lakini huyo jamaa yako alipopewa muda wa yeye kuhadithia kwa upande wake alikuja na scereen short kama alizokuja nazo kwa matala na masnitch wengi sasa hiyo ndio moja ya mbinu zao sasa nakusanua leo na chunguza utakuja na majibu anatumia udhaifu auπ