Ukimaliza chuo kuna kipind kinafuata nakiita “Post-Uni Trauma” hapa bwana
1. Unaona classmate wanapata decent jobs wewe bado
2. Classmates wanapata maisha wewe bado umekata ringi
3. Kwa a man manzi ako wa chuo anaacha kukuelewa elewa hv
4. Jamii inakuona miyeyusho..flani hv
I wrote a simple guide showing how to earn $10K+ as a new freelancer on Upwork
Marcel followed the guide & built his agency to $30K/mo in 60 days.
This guide is worth $99+
Want it for FREE?
RT & Like this post
I’ll DM you a copy.
(Must be following me- valid for 1 day only)
VITA VYA KIUCHUMI NA KIMTANDAO VYA NATO vs URUSI:
Tangu Rais Putin alipoamuru majeshi yake kuvuka mpaka na kuvamia nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo vingi vya kiuchumi na tishio la kuibuka kwa vita vya Dunia.
Vikwazo hivyo ni vipi na Urusi imejiandaeje kuvikabili?
UZI👇
NFTs basic tips for beginners
I'm going to write a Pro-Threads about NFTs , DeFi and GameFi but before doing that , here are some of the threads and links for BEGINNERS
#NFTs
A mini THREAD of Threads 🧵👇
Serikali ya Nigeria Imeamua kuwapa Msaada Wananchi wake walipio Ukraine kwa Kuwaondoa kupitia Nchi ya jirani ya Poland. Nigeria imeweka maafisa wake Mpakani mwa Ukraine na Poland na wote watakao fanikiwa kufika Mpakani hapo Watachukuliwa na watakuwa chini ya uangalizi wa Taifa.
SWIFT inatumik karibu na bank zote dunia sasa ikitokea ukazuiwa kutumia mfumo huu
Inamana hauwezi kutuma pesa kwande nchi nyingine automatically utakuwa huwezi kufanya international trade
@babalao__
SWIFT ina stand for Society Worldwide Interbank Financial Telecummunication,
Huu ni mfumo salama wa ki bank wa kutuma message baina ya bank na bank
ambao unarahisisha mawasiliano ya ki bank na muamala wako kufika nchi nyingine kwa urahisi
Mfano: uki engage ktk biashara kati yako na Mnigeria
Kisha ukata kumtumia fedha, bank yako itawasiliana na bank anayotumia huyo mnigeria ili kurahisisha muamala kufanyika
Huu mfumo wanao utumia ku wasiliana ndio unaitwa SWIFT