@SuluhuSamia Hongera sana Mh.Rais SSH. Nafurahi sana kuwa kupitia kauli yako ya "Kazi Iendelee" umekamilisha miradi yote aliyoanzisha Rais JPM na pia umetekeleza miradi mingine mipya uliyobuni. Utashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwaka 2025. CCM OYEE.