A post COVID world needs a a new breed of leaders because the current leaders, with some exceptions, have proved incapable of handling complex challenges facing the world.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, leo ameshuhudia upakuaji tani 20,000 za sukari iliyoingia nchini kutoka Uganda.
Pamoja na umuhimu was umoja fikra endelevu ndiyo hitajiko kuu la kuleta maendeleo.
Umoja na mshikamano, mfano was wala rushes, hauwezi kuleta maandeleo.
Nothing is more motivating than your belief that you are making progress. No matter how tiny the step is, keep taking one step after another. That’s what will inspire you the most.
@bavicha_taifa@freemanmbowetz@ChademaTz @JPambalu Kuna hoja lijualikali kaisema kwamba baada ya self isolation wabunge wa CDM wanarudi mulemule walipohs kwamba Kuna corona Sasa swali no he corona ishaisha au ipo vp hapo?
@zittokabwe@MagufuliJP Kuchukua kwa siri sio shida, kama zimetumika kwa matumizi halali tatizo liko wapi ? Mbona enzi za jk sikuwahi hata kusikia serikali imetangaza imechukua mkopo benki flan na hukuwahi kusema chuchote
@zittokabwe@MagufuliJP Binti wa Nigeria Chamamandi Ngozi amekuwa akieleza 'Dangers of Single Narratives' - seeing an increasingly complex world very narrowly kama akina Leo ambao maedeleo ni SGR, ndege etc bila kujali ukubwa wa Tz, mamilioni ya Watz etc
Funny creatures in every sense.
Kudos Zitto.
@zittokabwe@MagufuliJP Ndege na TX ya viwanda vina uhusiano gani? Imagine investing T. she 1.2 Trillion SIDO sawa na 50bn kwa mikoa 24.
Kwa msemo mwingine ndege 8 zimekisesha SIDO a cool 1.2 Trillion directly not to mention loss of 000s of jobs, value added local products.
On may as well 🏃 mad.
Oh?
Akili ndogo zitakuwa sehemu ya jamii siku zote. Mtu anyeaamini maamuzi ya mkuu ni sahihi siku zote ni wa kueleweka na kujaribu kumwelekeza kwenye fikra mbadala.
You never know, he may see things differently.