@TheRealMugoya Salaam, Patrick.
No doubt you are applying some of the strategies you revealed in the “Enhancing Tax Collection” the chapter you contributed in 2009 to the book known as WHY PAX TAX?
Best wishes
@TanzaniaUpdates Why don’t they make noise on what is happening in their respective countries? They should clean their own houses first before moving to other countries!
@bbcswahili Huyo mmliki wa nyumba ambaye kipato chake kinategemea pango ataishije kama kipato chake kinasitishwa! Tusifikirie upande tu wa wafanyakazi.
@cdftz Nadhani wanakumbuka mchango wako kwa sekta ya CSO miaka ya nyuma. Ulijenga ‘Social Capital’ ya uhakika. Jitihada zako pia zinaonekana ktk suala la afya. Keep it up, Waziri Ummy.
@JamiiForums Milioni 500! Bahati yake ilioje wakati nasikia wanaosubiri malipo kwa muda lakini wanaendelea kuchapa kazi. Wakulima, kwa mfano. Walimu je?
@ViwandaBiashara Shida ni kwamba madukani sukari hakuna.
Leo nilibahatika kupata kilo 3 tu wakati nilihitaji kilo 5 tu. Nilisafiri km 1.5 hadi Mlimani City maana maduka jirani haikuwepo.
@williamngeleja Hongereni kwa hatua hii. Natumai ipo mikakati madhubuti kuhakikisha shughuli zote zitaenda ipasavyo.
Vipi mchango wa ndani kwa maendeleo ya chuo hiki i.e. local contribution! Kila la kheri.