@Sativa255 Shida hamuikomoi Serikali, Ndugu zenu walioko huku ndo wanapata madhara.
Tangu lini watu wameandamana kikabadilika Kitu? Taften Njia mbadala ila Maandamano hayatobadilisha chochote kitu kwa Nature ya Nchi hii watu wataishia kuumia tu siku za maandamano.
@Corea2035@Sativa255 Kwamba kupigwa Risasi na kutupwa Porini ndo nini sasa ndo unataka kumuona kama YESU kwamba alijitoa kwa ajili ya watu? Kama ye mzalendo haswa mbona anaongelea mitandaoni?
@Jako_winy5445@BabiliJesuina@Sativa255 Kwa kipindi ichi ambacho Utawala upo madarakani ni ngumu sana vinginevyo mfanye mapinduzi na mapinduzi hamuwezi yafanya Raia kama Raia.
Hapo vumilieni subirieni mtawala amalize mda wake atoke.
@BabiliJesuina@Sativa255 Sawa upo sahihi kaka.
Lakini kumbuka hiyo ya kukaa ndani bila kufanya kazi inatuathiri sisi Raia wa Kawaida Kaka. Hao wengine wapo vzuri Kiuchumi Mkuu.