@kigogo2014 Pole Sana Kigogo. Mungu ana kusudi na wewe. Naomba usikate tamaa japo Ni ngumu kwa kilichotokea. Jina la Bwana lihimidiwe, apumzike kwa Amani. Rest Easy Dady Kigogo
@jchakutema @kigogo2014 Na bado. Mi nawashangaa Sana team meko, yaani walikuwa wanapiga makofi wakidhani kuwa upinzani tukinunua cement mfuko 35,000 wao watauziwa 15,000. Namba tunaisoma wote. Wauze hata 10,000 kg ya karanga
@kigogo2014@ManenoIzaak@MagufuliJP Kigogo usiombe ifike huko, tutashindwa kumaliza nyumba zetu za kuishi. Km mi bado sijaweka tiles na sijajenga ukuta aisee. Nitashindwa mwenzio