Namkumbusha @TunduALissu kuwa Maalim hajawahi kuingia SUK na Rais Karume.SUK ya kwanza Zanzibar ilikuwa Kati ya Shein na Maalim. Imani yetu SUK hii italeta Mabadiliko makubwa kwa Wazanzibari na haswa kuimarisha Umoja wao kupitia maridhiano ya kijamii"
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Tuna ushahidi mzito kuwa Magufuli na CCM hawataki SUK Zanzibar Kwa Kuwa hawataki Wazanzibar kuwa wamoja.Uamuzi wa kuingia SUK ni Uamuzi wa Wazanzibar ambao kwetu sisi @ACTwazalendo umepata baraka zote za vikao vya chama tena bila mkwaruzano."
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Maamuzi ya kuwepo kwa SUK ni ya Wazanzibari na maamuzi ya ACT kuingia SUK Mwaka huu ni kutimiza matakwa ya Wazanzibari ambao wanataka Umoja, Haki na Maridhiano ya Kijamii."
@JaneRithe@zittokabwe#MaamuziYaBusara
"@TunduALissu anasema “Sasa Maalim Seif Atatumika kama toilet paper ya kusafishia uchafu wa maCCM na madhambi yao dhidi ya Wazanzibari”. Haya ni matusi kwa Kiongozi wa Wazanzibari ambaye amesimamia mapambano ya Wazanzibari maisha yake yote."
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Maamuzi ya SUK yana maana kubwa sana katika juhudi za Jumuiya ya Kimataifa dhidi ya ukandamizwaji unaoendelea hapa Tanganyika.Litakapodhihiri ndugu @TunduALissu na Watanzania wote wataona nini maana ya Uongozi.Kiongozi ANAONGOZA!Kiongozi HAONGOZWI."
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Mwaka 1987, miaka 33 iliyopita, Maalim Seif alitoa ahadi mbele ya Wazanzibari ambayo anaiishi maisha yake yote. Maalim hajawahi kuongozwa na tamaa ya mali wala maisha ya Dunia. Anaishi maisha ya kawaida sana. Kwake yeye ni Zanzibar,Zanzibar,Zanzibar.
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Chama chetu kimezungumza na Jumuiya ya Kimataifa kuhusu uharibifu mkubwa wa uchaguzi uliofanyika hapa Tanzania. Jumuiya ya Kimataifa inajua Kwa undani nini kimetokea mpaka kufikia Uamuzi huu wa @ACTwazalendo kuingia katika SUK Zanzibar."
@JaneRithe#JamboLaZanzibar
"Maamuzi ya kuwepo kwa SUK ni ya Wazanzibari na maamuzi ya ACT kuingia SUK Mwaka huu ni kutimiza matakwa ya Wazanzibari ambao wanataka Umoja, Haki na Maridhiano ya Kijamii."
@JaneRithe@zittokabwe#MaamuziYaBusara
Kila LA kheri kamati kuu ya chama MUNGU awasimamie na mtakacho amua ndio msimamo wa chama
Mimi Ntakije Ntanena nipo nanyi ktk maamuzi yeyote Yale kwani nyinyi ndio mliopewa jukumu hili nzito MUNGU awatanguliee
Mungu ibariki Act wazalendo ,Mungu ibariki Tanzania🇹🇿
KARIBU MWITONGO GARDEN HOTEL kwa huduma bora,Chakula safi,Malazi bora,usalama wa kutosha kabisa
Hii ni hotel ya kisasa kabisa ndani ya mkoa wa kigoma ,
Wasilana nasi kwa no:0717282218 & 0717008809
#HakikakigomaYetu#TunaijengaWenyewe#wataliWaNdani
Makamo Mwenyekiti wa chama
@ACTwazalendo
Juma Duni Haji ameenda kutowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Nd.Mussa Haji Mussa aliyepigwa risasi nne na askari wa vikosi vya SMZ tarehe 29/10/2020 majira ya saa 3:00 za asubuhi huko nyumbani kwaoNungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
Hiki ni Kitanda cha Bibi Sada Ali Hassan aliepigwa Bomu ndani mwake siku ya tarehe 27/10/2020 maeneo ya Garagara. M/kiti wa chama cha @ACTwazalendo Maalim @SeifSharifHamad amefika asubuhi hii kuijulia hali familia hiyo na kuwafariji waathirika wa tukio hilo.
#hakiYetuWazanzibar
Leo Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo, Maalim @SeifSharifHamad ameanza ziara ya kuwatembelea waathirika wa matukio ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu yaliyofanywa na Jeshi la Polisi wakati wa Uchaguzi. Hapa akimjulia Hali ndugu Duni Haji Ali wa Makadara alievunjwa Mguu.
#haki
Happy birthday kijana Marlingo(Mwaisa) Leo umezaliwa upyaa kijana wangu na ndogo wangu mwaisa mungu akupe uumri mrefu wenye mafanikio huku ukimtumainia MUNGU kwani ndio kimbilio letu wanadam
Simama imara ktk maisha hayaa usikubali kupokonywa haki yako
Jiangalie na wanadam
Tar 26/06/1986 ndio siku niliyozaliwa kabla ya tar hi sikukuwa wala hakuna aliyekuwa anajuwa nitazaliwa
Hivyo hivyo hata siku nitayo kufa hakuna atakaye huwaa nipo imara zaidi ya Jana siogopi vitisho vyako nakwambia jaribu uone kitakacho kupata unanitisha tisha kisa cheo chako
Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa @ACTZanzibar sasa zaidi ya wiki yuko ndani na makumi ya Wanachama wa @ACTwazalendo. Tunaomba waachiwe huru au wapelekwe Mahakamani.
#FreeMazrui#FreeMazrui#FreeMazrui