@kimaramatosa @MdeePaschal @HarryGodfirst Bro hakuna Mzanzibar anotaka Muungano tangu ulivyo azishwakwake waliukataa na ndo mana Karume akatoa Kaulitz yake Muungano ni kama koti likikubana unalivua Nyerere akamla kichwa mashehe wa Uwamsho walifungwa miaka 9 walisema hatutaki Muunganona Wanzanzibar walikua ni wafuas wao
@MboyiJoel@Mwabuk2Boniface Sio kweli Karume ndo alosema Muungano ni kama koti likikubana unalivua na ndo mana Nyerere akamlia temingi akammaliza kubwa nikuwambiq hakuna Mzanzibar anotaka Serikali moja bora mwambie tuuvunje yupo tayari lakini sio serekali 1
@AidanJosiah26 @MariaSTsehai Wakati Wanzanzibar hawataki Muungano ww ulikua wapi furaha yao namba Moja kuvunja Muungano namba 2 kumuondoa Samia na CCM yake
@ny71443@abdul_latan@MariaSTsehai Ilo Wanzanzibar walilitaka miaka 50 iliyopita ata huyu Maria anajua watanganyika mnashtuka leo ila vizuri mnadai Tanganyika yenu saivi
@Chahali Ameen kilio cha Wanzanzibar hicho bro tangu muungano umekuwepo hawajawahi kuutaka na ndo mana miaka yote walikua wanauliwa wao kila chaguzi zikifanyika Ameen dua yako ikubaliwe