Alhamdullilah, 26.03.2021 itabaki kama siku ya historia katika maisha yangu, Tumempumzisha Shujaa, Mapambano yanaendelea
"Heroes never Dies, They do exist"
I will dedicate hard working, Msimamo na Kupambania ninachokiamin Hadi Pumzi ya Mwisho.
#RaisiWanguMagufuli#PumzikaBaba
@Jchris66283712@peterluena@zittokabwe@MagufuliJP Hoja zipi,Zitto kutoa hoja au udaku kama unavyotaka tuubebe
Mpo kwenye dunia ya kuamini akisema zito ni hoja, wakiongea wengine ni wajinga 😁
Hizo ndio akili kwa lugha yako?
@peterluena@JonMrema@PSintha1 @JrKapoki Na huyo et ni moja ya kiongozi wao kitaifa, ndio maana mm huwa nasema hawa watu achilia mbali kuwaamini Hawafai hata kuona maandiko yao ya kizushi na kipuuzi,