@ChademaTZ2 Afu et yanasombana msururu utadhani lissu ni mhaini ama gaidi kweli hivi kazi za kulima na kufuga ngombe za magerezan hakuna mnarundikana kwa lisu kwa lipi
@eastafricatv Kwani viongozi wa DINI ni muhimili mojawapo wa ulinzi na usalama wa raia na Mali zao et isitoshe nyie viongozi ndo mnajiandaa na uchaguz mnaanza makafara
@geraldbosco_ @emmanuelmussa_ @fumbokhanJr@kalage_jr Kewnda inatumia dk na kurudi inatumia massa na dk so nyuzi so anakwenda Kwa latitude nakurudi Kwa longtude