@CarynKhan7 @GpixelP Yes ni kama mtu avutiwe na wanaume warefu sio big deal wala msijiwekee dhana kama ilo ni tatizo. Wazungu ndio wanazipa category tu
@CheedKhalifa26 @GpixelP @swadakta_@Bayona_stories@Be_FrankSr @ByDurahRich @heisbixen @Ireneigora @jobles_bukujero@Noedson_tz Aliwapa vyote ila hakuwapa Uhuru watu wake kitendo cha kufika hatua kuwapangia hadi cha kufanya mfn hakuna bia wala club kisa tu yeye anaamin ni dhambi na hakutaka uhuru wa vyama aliua wapinzani bila kujali wanafamilia zao na wangeweka kisasi moyoni
@Zeronill96@josephatjefa@Jambotv_ Nimeshajib hili hakuna sources kamili mpk uwe Top officials korea hawatoa taarifa zao zozote kuanzia jeshi mpk uchumi wa nchi nzima hata world bank hawana izo, nuclear head hakuna ajuae korea anazo ngapi wana guess tu, Al jazeera hawana muda na west