Are you interested in advancing or changing your career? If so we are happy to announce the vacant positions available:
1. Director of Marketing
2. Director of Sales.
Deadline- March 20th 2023
Kindly address your application to the following email- [email protected]
@TigoNetwork Hivi huu ujumbe wenu una maana kweli?"Asante kwa kununua kifurushi. Umepokea Bonasi ya SMS 100 kwa saa 24.". Kwa saa 24 mtu atakaa na kutuma SMS 100 kwa nani? Na ili iweje? Hivi hamuwezi kubuni namna nyingine ya bonasi hata kama ni MB 100?
Nafahamu wengine ndio tunaianza night shift kama mimi mida hii…….. sasa nina elfu 30 tatu kwa Watu watatu ambao reply zao hapa hazitopata like hata moja!! TWENDE KAZI 😁