EWAGITA SAFE SPACE TO LEARN LIFE SKILLS FOR OUR LIFE ...
Ndiyo tunanavowaamboa watoto wetu wa Shule za Msingi na Sekondarii...wakipata maarifa na kujua stadi zao za maisha basi tumewasaidia
#ErickChibali#EWAGITA#Tanzania.
EWAGITA SAFE SPACE TO LEARN LIFE SKILLS FOR OUR LIFE ...
Ndiyo tunanavowaamboa watoto wetu wa Shule za Msingi na Sekondarii...wakipata maarifa na kujua stadi zao za maisha basi tumewasaidia
#ErickChibali#EWAGITA#Tanzania.
Miss Tanzania 2005 ambaye pia aliingiza Tanzania kwenye rekodi kubwa za Mashindano ya urembo baada ya kushinda taji la Miss Africa 2005 @NancySumari amehitimu masters ya Education economics and International Development katika Chuo Kikuu cha University Collage London kinachotajwa kuwa moja ya Vyuo 10 bora duniani.
Nancy ambaye ni Mkurugenzi wa Bongo5 Media Group (T) pia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Mafunzo ya Teknolojia kwa Watoto ya Jenga Hub na amekuwa akifanya uandishi wa vitabu kwa ajili ya Watoto ambapo alifanikiwa kuandika vitabu vya Nyota Yangu na kitabu cha Samia. #MillardAyoUPDATES
Aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi (57) ametangazwa kuwa kocha wa mabingwa wa Morocco AS FAR Rabat kwa mkataba wa miaka miwili.
Raia huyo wa Tunisia aliondoka Yanga mwishoni mwa msimu wa 2022/23.
#KitengeSports
Only by working together towards a common shared goal of building inclusive societies, can we achieve a safe and equal environment for all.
#SharingHumanity
🌊The sea view in #Zhanjiang is amazing, and the mountains⛰️ here offer generous opportunities to immerse yourself in their natural beauty. Let’s explore😍!
Elimu ya afya ya uzazi inasaidia wamama wadogo kuwa na uelewa wa njia sahihi za matumizi ya uzazi wa mpango ili kujikinga na mimba nyingine zisizotarajiwa. #WamamaWadogoTz
Je wajua! Elimu ya afya ya uzazi ni muhimu Kwa wamama wenye umri mdogo? hii inawasaidia kuwapa maarifa, ujuzi na maadili yanayohitajika Katika kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya zao. #WamamaWadogoTz