@SethIllomo@zittokabwe@mwigulunchemba1 Wananchi walio karibu na kambi ya nduta wanapata shida kwa kuvamia mashamba yao serikali iangalie hili ili kunusuru janga la njaa
Ssi wapiga kura wako hatuitaji mashati wala nni tunaomba hebu fuatilia haki zetu za huduma km Maji, umeme,barabara, mashamba yetu tulioporwa na wakimbizi wa Burundi na Tabia zao mbaya kwa watanzania.Viongozi wetu msaada @zittokabwe@mwigulunchemba1 https://t.co/MDpQ5YfE1O
Tunaozunguka kambi ya wakimbizi ya #Nduta#Kibondokigoma kijiji cha #Nengo waume zetu wanalala shambani kulinda wizi wa wa mazao wahusika jaman mtusadie wanaiba na bundki wannchi hatuwez kuwdhibiti kwa mikono. Usalama mdgo sana @mwigulunchemba1@majaliwa_kassim @TZ_MsemajiMkuu