Top Tweets for #KAFULILA
Ufundi mwingine niliougundua kwa mdogo wangu wa dalasa sa tano nilikuwa na mfos aje kuwa kama #KAFULILA...😁

Rais #Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya uteuzi wa wakuu wa mikoa wawili ambapo amemhamisha John #Mongela kutoka #Simiyu kwenda #Arusha na David #Kafulila kutoka #Arusha kwenda #Simiyu.
#ViapoIkulu #WakuuWaMikoa #RaisSamia #AzamTV #AzamtvNews #AzamTVUpdates
sema sina namba ya kafulila, ningemuuliza #Magufuli kaufanyia kipi mkoa wa #Kigoma ambacho wanakigoma wanajivunia. Aise @kigogo2014 nipatie namba ya huyu boya #Kafulila
"Achalia mafanikio mengi aliyofanya JPM yanayoacha alama kila jimbo,Namna alivomudu tishio la korona na kuibuka mbabe wa korona duniani, kwa nchi zingine ilitosha kuhitimisha uchaguzi huu.Ulizeni nchi zingine korona imewavuruga kiasi gani mtajua thamani ya mlichonacho"
KAFULILA

@hndatama @NdiholeyeKifu1 @nccrmageuzihq @WistonMogha @BavichaT @JamesFMbatia daahh nikikumbuka kigoma kusini #nccrmageuzi ya kipindi cha #kifuGulamHusein na #kafulila, nabaki kuamini siasa haitabiliki daah.
Mbona mmewahonga Vyeo kina @Mtatiro, #Katambi #Kafulila #Waitara na wengine kibao tu? Ni Tabia yenu @ccm_tanzania kuhonga watu Vyeo ili muendelee kushika hatamu, mnafahamika
Hata waliotoka Upinzani wakaenda @ccm_tanzania hawajaweza kurekebisha waliyokua wanayapinga. Wametulia wanapokea maelekezo wanakula mema ya nchi. Mifano hai #Kitila #AnnaMghirwa #DrSlaa #Machali #Kafulila #Mwita #Kafulila #Mtatiro #Katambi .
◾ Mabadiliko ni kazi kubwa

Hata waliotoka Upinzani wakaenda @ccm_tanzania hawajaweza kurekebisha waliyokua wanayapinga. Wametulia wanapokea maelekezo wanakula mema ya nchi. Mifano hai #Kitila #AnnaMghirwa #DrSlaa #Machali #Kafulila #Mwita #Kafulila #Mtatiro #Katambi .
◾ Mabadiliko ni kazi kubwa
“Nilikuwa kwenye chama Tawala, nikaja kwenye chama kikuu cha upinzani, naona mambo hayajakaa vizuri, nilijua naweza kurekebisha ila hawakutaka hilo” Mhe.Sumaye
#MkutanoNaWanahabari.

#UtamaduniWetu
◾ Wengi wamekua #compromised wameufyata na wamepewa vyeo. #DrSlaa, #Machali, #Kafulila, #Kitila, #Mghirwa, #Mwita sembuse #Mtatiro?
◾#Unafiki na #KulambaMiguuYaDikteta ndio kazi bora wanayojivunia kwa Sasa
#KatibaMpya
#TzKwanza
#ChangeTanzania

"Viongozi wenye umri mdogo muache kujitutumua kama mabeberu, tuwe kama Dk Mengi, licha ya uwezo wake, alikuwa akijisusha na kuwasaidia wote. Kila siku huwa nasali kwa ajili ya viongozi, msipojishusha, Mungu atawashusha."- Askofu Mkuu wa KKKT, Dk Fredrick Shoo

Ni kazi sana wanasiasa kuoana at some point they CRUSH with personal gain interest #KAFULILA simamia UKWELI @MarekaMalili @MariaSTsehai @MwananchiNews @KilaKituMie @kafulila_david
Kwani alomwita kafulila tumbili nani!? Binaadam wanaitana majina ya wanyama "kiyama" au adabu ilishuka pole #Kafulila mungu atakulipa https://t.co/yAfjwNvS82
"Aliyemwita Kafulila tumbili yeye ndiye tumbili , Kafulila katetee wanyonge hadi wakudhihaki, ila wao ndio tumbili wewe ni mtu safi" ~ JPM

@millardayo Penye ukweli uongo hujitenga hongera #Kafulila & @THRDCOALITION kwa kumtambua km shujaa wa TZ tangu awali
Ngeleja kurudisha hela za Escrow ni kuweweseka tu, hakumfutii makosa kukwepa mkono wa sheria waunganishwe na taasisi walizozitoa. #Kafulila

Tunahitaji #wabungeMUBASHARA #BASHE #TUNDU #KAFULILA #AKMALECELA #SHYROSE na wengine wengi wenye HOJA kuliko manufaa binafs
Tukibaki na chama kimoja Ccm itang'oka asubuhi'.- #Kafulila #RaiaMwema #KunyambuaNaKunyumbulisha #JotoLaAsubuhi
@swahilitimes @zittokabwe na #kafulila wanapaswa kufikiri namna ya kuunda umoja wa upinzani imara na sio parochial interests kuhusu Kigoma
Last Seen Hashtags on Sotwe
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers























