Top Tweets for #Nasaha
#NASAHA
Tumuombe sana Mwenyezi Mungu SWT wepesi, mafanikio na kila lililokuwa jema; tusighafilike kwa kuacha kumuomba Mwenyezi Mungu duwa, atuepushe na ubaya na Wabaya.
Furaha yako huwa kero kwa baadhi ya Walimwengu, huzuni na shida zako huwafurahisha baadhi ya Walimwengu.

#NASAHA z@Babuโโฆโฆ!!!!!
Mjukuu wangu kaa ukijua ya kwamba "ukiacha ujuaji kila mtu ana kitu cha kukufundisha na kukufanya ukawe bora zaidi"โฆ.

#Nasaha
Ramadan #2
Watu 4 katika maisha
1. Unajua na anajua kama anajua huyu mfate jifunze kwake
2. Anayejua lakini hajui anajua huyu anahitaji ukumbusho
3. Asiyejua na anajua kama hajui huyu anahitaji muongozo na kujifunza
4. Asiyejua na hajijui ila anajifanya anajua huyu muepuke
#Nasaha
#NASAHA
Usishughulishwe na maneno ya watu yasemwayo nyuma ya mgongo wako kama vile simba anavyokosa kushughulishwa na kelele / zogo pale anapompuuza mbwa anayebweka mgongoni mwake kwa kutogeuka.
Maanake ni kwamba UPUUZI na MPUUZI hupuuzwa

#NASAHA
Kamwe usimdharau mtu yeyote, pasi na kujali muonekano wake wa umaskini au vyenginevyo, usiwatendee watu ubaya, kwa hakika hapa duniani kuna namna za ajabu za kushughulika na watu wanaowatendea wengine vibaya "what goes around, comes around". Usimdharau mtu yeyote.

#Nasaha za Jenerali Ulimwengu Kuhusu Mfumo wa Kuwa na Wateule Wengi wa Rais: "Tunajidanganya Hatuoni Tatizoโ
#NASAHA ๐
Kama hujui hijab ya kisheria ni ipi, uliza tu usione haya kuliko kuvaa alafu ukaonekana kituko. Hijab ya kisheria ina vidhibiti vyake.

@Yahya_Kifyatu @denhope26 @KipepeComrade @ellybanyambala @Hakingowi @chongolo_daniel @eastafricatv @fatma_karume @mshambuliaji @masoudkipanya @HKigwangalla @AntonyLusekelo @Giftwilliam_ @freemanmbowetz @Dullahmwinyi1 @dullahally007 @sheby_yahya @freemanmbowe @VumiliaMwaipopo @mwaipopoisa @MwaipopoIbungu @mwaipopo @GeraldMwaipopo @samuelnoscot @MwaipopoElisha @MwaipopoEvans @kaaya323 @KaayaIrene @TZEmbassyCN @UhamiajiTz @Ndc_tz @JapanAmb_TZ @TanzaniaDigest @FactcheckTZ @tonytogolani #NASAHA
Majadiliano mema, maongezi mazuri, mashauriano yenye tija hufanyika kwa kutumia lugha laini, kauli njema na maneno mazuri.
Tuepuke kwa kadiri tutakavyoweza kutumia lugha nzito, maneno magumu na lugha isoyopendeza.
Lugha nzuri huza MAZURI
Lugha mbaya huzaa MABAYA
*#NASAHA ZA VIONGOZI: VIJANA KUWENI CHACHU YA MAENDELEO YA TAIFA LETU.*
*โVijana ni chachu ya maendeleo. Mnatakiwa kuwa mstari wa mbele kuwakilisha taifa katika nyanja zote za matokeo chanya yanayosaidia taifa letu.โ*
Ndg. Sophia Mjema
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi

#NASAHA
Ipo siku utaondoka uzuri wa Mwanamke na itaondoka afya ya Mwanaume na wala hapatabakia isipokuwa mapenzi ya kweli na Huruma. Basi fanya vizuri katika kuchagua.
#NASAHA ZA MGENI RASMI
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bi. Miriam Mmbaga akizungumza na Askari Wahitimu wa Kozi ya Uongozi wa Awali katika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Chogo, Handeni Mkoani Tanga
@WizaraMNN
#NASAHA ZA VIONGOZI:
KAZI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU.
โTuchape kazi bila kujali itikadi, makundi na tofauti zetu binafsi.โ
Ndg. Rehema Sombi Omary
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa @rehema_sombi
Salamu za Shukurani, Novemba 2022.
#JisajiliSasa
#SautiYenu
#VyuoNaVyuoVikuu

Surah Ar Ra'd | Aayah 15
.
.
.
Sikiliza --- 102.1
Radio Ihsaan Fm
- Tochi Ya Jamii -
#UKUMBUSHO #nasaha #mawaidha #islam #imaan #sunnah #quranmajeed #Quran #radio #ihsaanfm #tanga #AfrikaMashariki #Tanzania

#NASAHA
"UNAPOSIKILIZA lengo lako liwe KUELEWA, na kamwe lisiwe KUJIBU"
Lengo la kuelewa litakuwezesha kupata ufahamu chanya wa mjadala. Lengo la kujibu ndio mwanzo wa ubishi na kufilisi mjadala
Kuumbwa na masikio 2 maana yake ni sikiliza zaidi
Mdomo 1 maana yake usiseme sana

#NASAHA
Mtume Muhammad SAW alitunasihi kwa kutumia maneno yafuatayo:
"Waja bora miongoni mwenu ni wale wanaokuwa na mahusiano bora na wanawake (wake) zao"
Hapa tunaona jinsi mafundisho ya Mtume Muhammad SAW yanavyomtambua, kumuheshimu na kumthamini mwanamke

Last Seen Hashtags on Sotwe
StripTeaser
Seen from India
เนเธกเธตเธขเนเธฅเนเธเธเธนเน
Seen from Canada
homemade filter:native_video
Seen from Mexico
messyfacial
Seen from Turkey
Aiๆไบบ
Seen from Indonesia
bbc sex
Seen from Pakistan
minichatttt
Seen from Argentina
minichat
Seen from Chile
telegram(*)*****
Seen from Turkey
เธเธเนเธซเธกเธฅเธฐ
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.6M followers













