Top Tweets for #SENGEREMA
#NoReformsNoElection
"Ndio Msimamo #wetu
Msimamo wa #Sengerema
Msimamo wa #Nchi
Nyoosha mikono juu kama unapinga wizi wa uchaguzi Wachukue hii picha wampelekee Rais Samia" - @HecheJohn #Sengerema
#Sengerema
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 12.08.2024 ametembelea ofisi ya TRA wilaya ya Sengerema ambapo amekagua ujenzi unaoendelea wa ofisi ya TRA ya wilaya hiyo, pia amezungumza na watumishi wa TRA walioko katika wilaya hiyo.

Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3 na Barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Desemba 30, 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya #Usagara –#Sengerema – #Geita zenye urefu wa Kilomita 90
Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania - TANROADS Mkoa wa #Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amesema hayo na kuongeza kuwa Utekelezaji wa Mradi huo umefikia 88.61% na kuwa litakuwa Daraja refu zaidi #Tanzania na Afrika Mashariki na Kati
Ameongeza kuwa Usanifu wa daraja hilo umetumia Teknolojia ya Madaraja marefu (Long Span Bridges) inayoitwa “Extra Dosed Bridge” ambapo kutakuwa na Nguzo Kuu (Pylons) 3 zenye kimo cha Mita 40 na umbali Mita 160 kutoka nguzo moja hadi nyingine
Soma https://t.co/6tQOPO5BNz
#JFHuduma #Governance #JamiiForums

#UchumiBora Unaanza Na Wewe!
Mafanikio ya Kagunga:
VSLA na Ushirika wa Nyumba na Makazi Vinaleta Mabadiliko
TAHEA Mwanza kwa ufadhili wa WeEffect, walifanya mkutano wa uhamasishaji Kagunga kuimarisha uchumi wa familia.
#VSLA #MaendeleoYaJamii #Sengerema #UchumiBora #AkibaNiNguvu

📍#Sengerema Mwamba @freemanmbowetz anasepa na Kijiji, awote....! waione @eastafricatv 😀😀
#VuguvuguLaKudaiHaki
#WikiYaMaandamano

Get top-quality chickens from a skilled entrepreneur in Sengerema, Tanzania. He accept Pi payments and support #GCV. You're all welcome!
#Sengerema
#PiPayments
#Tanzania
#Pioneers
"Hizi mali nitazipatia kwenye udaktari kweli???"
Hili swali nimejiuliza nikiwa kwenye Boda Boda nawahi emergency C/section kituo changu kipya cha kazi.
#Sengerema #Kagunga

Last week @AmrefTanzania through the #USAIDTanzania #AfyaShirikishi project, in collaboration with the Regional and Council Health Management Teams of #Mwanza region, organized the Regional CHWs Forum in #Sengerema TC, #Mwanza region, #Tanzania.
With the support from @USAID, the forum brought together a total of 99 #CHWs from all councils in the region where a range of topics on #TB, #GBV, and #ICHF were discussed. CHWs also had an opportunity for experience sharing.
@ntlp_tz @wizara_afyatz @usembassytz @USAID @ortamisemitz


#MWANZA: Jeshi la Polisi linamshikilia Maneno Thomas (35), Mkazi wa Chamagati Wilayani #Sengerema kwa tuhuma za kumuunguza Mikono kwa Maji moto Mwanaye anayefahamika kwa Jina la Daniel, akimtuhumu kudokoa Mboga ya Majani aina ya #Chainizi
Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Julai 30, 2023 kwa kuchemsha Maji na kummwagia katika Mikono yote miwili kisha kumfungia Chumbani Mtoto huyo, hadi Majirani walipoanza kuhoji kutomuona na kuanza kufuatilia ambapo waligundua amefanyiwa ukatili huo
Mzazi/Mlezi, unadhani nini kifanyike ili kudhibiti matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?
Soma https://t.co/qp3NAqv51B
#JamiiForums #JFMatukio #ChildsRights #HakiMtoto #SocialJustice

MWANZA: MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI APOTEZA KIGANJA KWA KUSHAMBULIWA NA FISI
Deus Dalama (8) amelazwa Hospitali ya Wilaya ya Sengerema baada ya kushambuliwa na Fisi na kupoteza Kiganja cha Mkono
Mkuu wa Wilaya ya #Sengerema, Senyi Ngaga Tukio, amesema tukio limetokea wakati Deus alipokuwa akicheza na Watoto wenzake
Naye, Mhifadhi wa Wanyamapori Mkoa wa #Mwanza, Godfrey Baisi, amesema wametuma kikosi Kazi kwa lengo la kuwaangamiza Fisi waliopo karibu na Makazi ya Watu
Soma https://t.co/aSHYqB8ITt
#JFMatukio #JamiiForums

#KilimoTips
Naongezea Mwanawasu.. unajua sato hawafanani ladha sato wa #Ukerewe ni watamu zaidi kuliko wa #Sengerema na baadhi ya maeno ya Kanda ya ziwa. Naambatanisha na ushahindi 😝 #KilimoNiAjira
@MalemboFarm
@MalemboIntern

Malembo wasu: Nyumbani kwetu, tangu Kisorya, Mwitende, Nansimo, Bunere, Busambara, Nakatuba, Bhulenda-Bhufwe, Iramba, Kibara, Kasahunga, Mahyolo, Kasuguti, Bulamba, kote samaki bingwa ni SATO.
Hana shombo. Ni adimu. Ni mtamu.
Tena wale wa kwenye ‘mbigo’ ni balaa zaidi
#VIDEO Mbunge wa Sengerema Hamisi Tabasamu akichangia mchango wake bungeni leo Juni 22, 2023 jijini Dodoma.
Video kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
#Mbunge #HamisiTabasamu #Ajira #Kazi #Sengerema #Bunge #Dodoma #Maisha #WaziriWaFedha #MwiguluNchemba
#VIDEO Mbunge wa Sengerema Hamisi Tabasamu akichangia mchango wake bungeni leo Juni 22, 2023 jijini Dodoma.
Video kamili ipo youtube ya #EastAfricaTV
#Mbunge #HamisiTabasamu #Ajira #Kazi #Sengerema #Bunge #Dodoma #Maisha #WaziriWaFedha #MwiguluNchemba
#SENGEREMA: Naibu Waziri Sagini amefanya ziara Wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza Novemva 26, 2022 kwa kukagua ujenzi wa nyumba za Polisi na kupokea Msaada kutoka kwa Hamisi Tabasamu, Matofali 10,000, Magodoro na Blangeti 170 kwa ajili ya kusaidia Wafungwa Gereza la Kasungamila.

Mwanamke mmoja (59) katika Kijiji cha #Sogoso kata ya #Sima wilayani #Sengerema mkoani #Mwanza ameuawa kwa kudaiwa kukatwa katwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana wakati akioga nyumbani kwake huku chanzo cha tukio hilo kikiwa hakijafahamika. (1/2)

Wanangu wa #Sengerema hii stendi yenu dah! 😃 cc: @wasafirtanzania @TBoundBuses itabidi wapelekwe kanda ya pwani wakajifunze field za stendi zilivyo.

#MWANZA: Leo Septemba 29, 2021, Mkuu wa Wilaya ya #Sengerema, Sanyi Ganga amethibitisha kushikiliwa kwa Lucas Moshi ambaye ni mwanafunzi wa shule ya sekondari #Nyehunge kwa tuhuma za kuchoma shule hiyo Septemba 27, 2021.
#SerengetiPost

#Sengerema kwa kaka yangu, Mh Mbunge Hamisi Tabasamu. Lengo ni kukagua Utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kutatua kero za wananchi. Aidha nitaongea na Madiwani pamoja na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema. #TamisemiYaWananchi #KaziIendelee

Last Seen Hashtags on Sotwe
omegle
Seen from United States
抖音风
Seen from Netherlands
desahancewek mommy
Seen from Indonesia
niiko
Seen from Netherlands
名言カード交換
Seen from United States
momson()*****************************************************
Seen from Russia
มาร์คเมโส
Seen from United States
รับงานเชียงราย
Seen from Thailand
manavgatgay
Seen from Turkey
müjdear
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.3M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
113.1M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.5M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89.1M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
83.1M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
72.1M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.5M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
65M followers

Bill Gates 
@billgates
64.7M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers


































