Top Tweets for #tuliatrust
@Roma_Mkatoliki Ata wew show zako zilkua hazjai maana ukija live unazngua balaa
Pumzi huna
Huend na biti
Unaimba kama unaongea atuskii ukirap tena
Jikadirie #tuliatrust
'.... Sometime Music Dissapoint You Then To Overcome That You Listen To It...'
Much respect #TuliaTrust

“Siku ya leo #TuliaTrust tumeleta mchango wa mifuko 100 ya cement kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa madarasa, huu ni mwendelezo tu na tutaendelea kushirikiana katika sehemu mbalimbali kwa lengo la kuongeza kasi ya maendeleo ya elimu ndani ya Jiji letu” Mhe. Dkt. @TuliaAckson.

“Hayombo ni mojawapo ya Shule zinazofanya vizuri hapa Mbeya Jiji, kama mnavyofahamu #TuliaTrust kila mwaka huwa tunatoa tuzo mbalimbali za elimu ikiwemo Shule bora, Walimu bora na Wanafunzi bora hivyo ni imani yangu mwaka 2021 Shule hii itachukua tuzo nyingi” Dkt. @TuliaAckson

@darmpya_ @TuliaAckson Fedha Isinunue Watu. Sijapenda namna ulivyotumia fedha nyingi chini ya kivuli cha #TuliaTrust. Uongozi bei yake ngapi?? Au haujiamini dada? Natamani ungeongoza Jiji la Mbeya but mbinu zako sio. Hufai. Siku ukitaka Urais je utatumia shilingi ngapi? Hufai tena.
@BahatiChigudulu @millardayo For people who knows her around mbeya they're witness of what I sayed...have you come in contact with what is called #Tuliatrust??
Kila nikijaribu kufanya marejeo ya sheria ya gharama za uchaguzi no.6 ya 2010,naona yanayoendelea Mbeya chini ya #TuliaTrust ni kama rushwa ya uchaguzi. Wenda sina uelewa wa sheria,ila wanasheria nisaidieni kunipa tafsiri hapo.
@Advocate_Jebra @MaabaraYaSheria @fatma_karume
Yes madam.....this woman is among of the motivation speaker in Tanzania....#tuliatrust
Ukipata nafasi ya kukaa na wanao waambie kwamba uoga wa kuthubutu ni adui mkubwa katika maisha.
#TBT
#BlessedTulia

Tumekabidhi hundi ya shilingi milioni 2.7 kwa ajili ya kuongeza mtaji kwenye chama cha akiba na mikopo Cha wanawake CCM (UWT)Jiji la Mbeya kijulikanocho kama KIWAWAM SACCOS ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Mkurugenzi wa taasisi Naibu Spika @TuliaAckson
#tuliatrust

Tulia trust tutawapatia Mama Lishe aprons takribani 2000 kwa ajili ya kufanyia kazi zao za kuilisha jamii.
Hii ikiwa na Kati ya juhudi ambazo tunaendelea kufanya ili kumsaidia Mwanamke wa Kitanzania kupata maendeleo #tuliatrust
#TuliaTrustNaMaendeleo

Tulia Trust imewakopesha Vijana wa Bajaji Mbeya Jiji Bajaji 16 ili waweze kujikwamua kiuchumi. #TuliaTrustnajamii #Tulianamaendeleo

Kazi Nzuri Mh. Naibu Spika under #TuliaTrust kwa kuthamini mahitaji ya wananchi...wewe siyo kama wale wanaojiita @ACTwazalendo kazi yao kujipiga picha wakizurura https://t.co/mvPxVU0TCY
Leo nilitembelea Shule ya Msingi Iduda ya Mbeya ambapo kuna ujenzi wa matundu ya vyoo 26. Kupitia Tulia Trust tumechangia mifuko 30 ya saruji na Masinki 26, pia @tuliatrust_org tumeahidi mifuko 100 ya saruji ili kukamilisha ujenzi huo.

Proud ambassador wa #Tuliatrust 💪💪💪
Regrann from tulia.ackson - Asante mbunge wa jimbo la… https://t.co/x9xwylOZfj
Wanafunzi, Shule na Wilaya zilizofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha 4, 2 na darasa la saba mkoani Mbeya wapewa zawadi na wadau wa Elimu #TuliaTrust

#TuliaTrust ni mfuko wa Naibu Spika Dr Tulia licha ya kuguswa na kuchangia mpango wa kuchangia gharama za... https://t.co/oaJLUeQ7z2
#TuliaTrust (chini ya Naibu Spika wa Bunge la #JMT, Dkt Tulia Ackson ) waliahidi kutoa fedha kwa ajili ya Bi... https://t.co/McjnkJMYeP
Last Seen Hashtags on Sotwe
kohlantine
Seen from Japan
teenage #nolimit()**********()
Seen from United States
istanbul gay
Seen from Turkey
nolimits(1)*************************
Seen from United States
ควยมปลาย
Seen from Thailand
ぽっちゃり女子
Seen from Japan
smokingbitch
Seen from Algeria
konyabayan
Seen from Turkey
ts #cruising
Seen from United Kingdom
izmittraveſti
Seen from Turkey
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.2M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.8M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.3M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
89M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.9M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.4M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.8M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.4M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.8M followers

Bill Gates 
@billgates
64.6M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
62M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers



























