Katika muendelezo wa kukutana na viongozi kujadili kwa pamoja namna ya kuwa sehemu ya utatuzi wa changamoto tutakuwa LIVE na Naibu Waziri wa @wizara_afyatz Mhe @DocFaustine ambapo tutazungumza kuhusu suala la Afya. Ni Jumatano Septemba 12, kuanzia 12.30 Jioni #ChukuaHatua
Sisi wananchi wa kijiji cha #Nengo tunayashukru sana mashirika yote yaliyo tufadhili mradi wa vitaru vya kuotesha miche ya @redesokibondo @OxfamTz pamoja na hayo yote hapa tuna pooteshea miti maji ni shida hivyo tunaomba wizara ya maji #CHUKUAHATUA kwa kuja kuchimba kile kisima
Tunaomba ufafanuzi juu ya mwanamama anayeenda kujifungua je huduma kweli ni bure @mh ndugulile maana utakuta tunaambiwa twende na vitu kama gloves,mpira wa kutandika,pamba #chukuaHatua @umwalimu @DocFaustine@msoapomtwara@OxfamTz
Namshukuru Sana Mungu Kwa Kuniwezesha Kuiona Hii Siku Nyingine Ya Tarehe 12.09.2018 ambapo Naongeza Mwaka mwingine Na Kufurahia Siku Yangu Ya Kuzaliwa.
#HappyBirthdayToME
Hakika na ninyi mlioamua mmeanza kuonyesha ukomavu kidogo ila bado mnahitaji msukumo wa kifikra ili maamuzi mazuri yaendane na vitendo, sitosema mko sawa mpaka dhuruma ndogo ndogo kwa Jamii zikome. Mchanga Kigendeka nk. Kibondo hoyee.@MachuzaJ@VMpambije