@HecheJohn Hivi haya yanayozungmziwa humu wananchi wote wanayajua?? Km sio basi akuna tunachofanya kwasababu mnazungumza na baadhi ya watu lkn jamii kubwa mnaliacha.
Kaongoza mzee mwamfupe miaka mingapi? Kaongoza mzee mpesya miaka mingapi? Yaani unakuja na hoja nyepesi hivyo au umri wako ulikuwa bado haukuwashuhudia
@IamJongwe__ @PatricOleSosopi Mh. Mbunge ,Mbeya tunahitaji mabadiliko ya kweli .Hali ya Mkoa miaka kumi iliyopita iko vile vile.Itakuwa busara ukiwaachia wengine wajaribu au hata kurudisha Jimbo kwa CCM ,sisi tunataka maendeleo na Sio siasa za kukomoana.Tafakari kwa faida ya Mkoa Wetu.
@ngurumo Hili la Mwakyembe nadhani wengi hatujalielewa kwa sababu siyo wenyeji wa mbeya. Maeneo mengi ya Mbeya, Makanisa ndiyo sehemu kubwa shughuli za kijamii zinafanyika. Binafsi, nilishawahi kuona kura ya maoni ya Ubunge-CCM ikifanyika kanisani kama ukumbi yaani unabadilishwa matumizi.