Naitwa Justine Baada ni mwalimu niliyejiajiri kwa kuanzisha maabara inayowasaidia wanafunzi kujifunza na kuyaelewa masomo ya sayansi kupitia vitendo.
Ninatafuta mfadhiri atayenisaidia nipate nafasi ya kuanzisha kipindi cha IJUE SAYANSI KWA VITENDO ZAIDI ktk runinga hapa nchini.

@moodewji Mimi RAJAB ABEID SINGO kijana wa miaka 28, mfugaji mdogo wa kuku wa mayai kijiji cha Mtakuja wilaya ya Muheza, Tanga. Banda langu la kienyeji, umeme natumia solar. Ninazo changamoto za vyombo vya kuwalisha kuku pamoja na chakula chao cha kutosha. Ninaomba sapoti kwa hali na mali.
Bunge limesitisha kwa muda shughuli zake za leo ili kujadili changamoto ya bei duni inayowakumba wakulima wa mahindi nchini. Wabunge wameeleza kutoridhishwa na bei ndogo ya mahindi, bei ghali ya mbolea hivyo wameitaka Serikali kuiongeza hela NFRA ili inunue mahindi kwa wakulima.
The Philippines' first Olympic gold medal winner credited her Christian faith after setting weightlifting Olympic record in Tokyo: https://t.co/6MqfTqnzg9. Where you are is your ministry. "Whether you eat or drink, or whatever you do, do all to the glory of God" (1 Cor 10:31).
Twitter is probably the world’s first truly free marketplace of ideas.
I have probably learned more from the people I met here than I did at Oxford.
You can curate your Twitter experience by choosing to follow amazing people while blocking toxic trends and people.