Nimeona Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ikitangaza mpango wa kuongeza majimbo.
Tunakosea. Tunaongeza gharama za kuendesha nchi. Mpango huu ulifaa uwe wa kupunguza badala ya kuongeza. Nashauri kila WILAYA iwe JIMBO LA UCHAGUZI. Tutapunguza majimbo na hivyo tutapunguza gharama.
@OlengurumwaO Naoma mnavyoshambulia. Mnachojadili na kilichoandikwa tofautu kabisa. Pateni kwanza text ndipo muwe kwenye nafasu nzuri ya kujadili na kuhukumu.