2/2: Thanks to a project funded by @Irish_Aid through @OxfamIreland that supports women in marginalized areas to obtain land ownership certificates. #SayEnough to violence against women and girls. #SemaInatosha
Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Geita. Akifugua mkutano wa mrejesho wa waraghbishi ngazi ya Wilaya.Apongeza sana kazi nzuri za Waraghbishi ktk kuongeza kasi ya maendeleo ya jamii na kufanya kazi ya viongozi kuwa nyepesi kwa vile jamii imejengewa uwezo ktk maendeleo@OxfamTz
mpango wa uchagiaji wa mfuko wa afya (CHF)iliyoboreshwa ni mnzuri sana,kwa @kaya yenye watu sita kiasi cha tsh 30000 kwkwa mwaka,je,katika watumishi wa zahanati za vijijini kuandikiwa kipimo tu,dawa needa dukani kanunueserikali hamlioni hilo?#ChukuaHatua@TZMsemajiMkuu@OxfamTz
Ni wajibu wangu kujuwa haki ya mtoto na pia naelewa umuhimu wa elimu kwani najuwa hata mzaz ukiwa na majumba 10 na magar 3 ukifa ukamuachia mtoto bila elimu hayamsaidii kitu kwani ulidhi wa mtoto ni elimu @mohamed_mkulima@msoapomtwara @Kajuli_JSK
@kwanza_tv Ila ifike sehemu tusimamie ukweli, siasa tuweke pembeni. Ukweli ukisemwa, tusijaji kwa kuangalia umesmwa na nan, anatoka chama gan. Kusimamia jambo kwa kuangalia upande uliopo, kuna madhara makubwa sana.
#TIGO TZ huu mnara uko ktk kata iponya wilaya ya mbogwe mkoa Geita haupo mkataba wowote unaoonyesha kuwa kijiji kitanufaika na kipato kinachopatikana na mnara huu@mbarawaM shelia inasemaje kwa vitu kama hivi wazili wa zamana hii@ oxfamTz@billmarwa@ kefarmbogela
Tunapo zungumzia unyanyasaji wakijinzia hasa jinsia,ke kweli hawana https://t.co/XefMwDJMWf baazi ya wanaume wapo wananyanyaswa na jinsia ya ke,wao wako upande gani?naomba kusaidiwa.@umwalimu #chukuaHatua@oxfamTz.
Ni jukumu la serikali ya kijiji kwa kushirikiana na wananchi(kamati za wananchi) kuona kwanini umeme umeshindwa kuingia kwenye sekondari yao na wakati moja ya sehemu lengwa ni mashuleni!
@tanescoyetu@AlkadoAlphonce Ni Jambo jema kwa TANESCO kuyaangaza Maisha ya Watanzania hususani Masikini hasa Vijijini ila Kunabaadhi ya Taasisi za Serikali Zimekosa huduma hii Mf.Kanegere sekondali iliyopo Mbogwe,Geita licha ya Umeme kupita ktk Kijiji iliyopo Shule hii na Kwenda kata Nyingine @tanescoyetu
Hiki ni choo cha majengo ya shule tarajali ya sekondari ya kata ya Isebya,Wilaya ya Mbogwe, Mkoa wa Geita yanayotekea bila juhudi zozote za wenye dhamana kuokoa nguvu hizi za wananchi!! #chukuahatua#oxfamtazania#rmabara
Ni miongoni mwa shule za Sekondari 3 ktk wilaya ya Mbogwe ambazo hazijafunguliwa.Lakini wanafunzi wanasomea mbali sana Watoto wakike wanachangamoto ya mimba na kukatishwa masomo.kulingana na mazingira zifunguliwe #ChukuaHatua@JoyceNdalichako
Waraghabishi wa #Kibondo Kutoka Shirika ra #Oxfam kupitia Mradi wa Utawara bora na uwajibikaji Tukiwa tumekusanyika kujadiriana Changamoto Zinazo tukabiri sisi Wenyewe najamii yote Kwapamoja. Shukurani ziende kwa #Oxfam#ChukuaHatua#KwanzaHabari#Oxfam
Maendeleo ya kweli na ufumbuzi wa kweli wa matatizo ya jamii zetu huletwa na jamii zenyewe, kinachotakiwa ni kuchochea kuni tuu katika moto wa fikra zao!!! https://t.co/oCXBs4AzzS
Picha bora ya kufungia mwaka.
Demokrasia Tanzania LAZIMA IREJESHWE kwa by hooks and crooks..
Tanzania deserves the best democratic air. NO MJADALA.
Asanteni Viongozi wetu. Na sisi kwa nafasi zetu tupaze sauti bila woga kwa ajili ya uhai wa Tanzania yetu.
Team #KaziNaBata 🔥🔥