Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira na Muungano.@JMakamba“Kwenye baadhi ya nchi Mabadiliko ya tabia ya nchi yametangazwa kama usalama wa nchi. Nasi kama nchi ipo haja ya kuonesha kuwa changamoto zinaweza kuwa kubwa”.
#ClimateSymposium@OxfamTz
Wananchi wa kata ya masumbwe wilaya ya mbogwe geita wamekubalìa kuhusu ujenzi wa madarasa mawili na ofisi moja shule ya sekondari ya nyakasaluma baada ya kumaliza kuchimba msingi ili kupunguza kubanana kwa wanafunzi darasani
“Suala la kupinga ukatili wa kijinsia si jukumu la TAMWA pekee bali ni Jukumu la kila mwananchi. Tusaidiane kuzibainisha changamoto zilizopo na sisi tutasimamia kutoa elimu katika kuhakikisha tunatokomeza hizo changamoto” – Rose Reuben, Mkurugenzi mtendaji, TAMWA.
#zuiaukatili
Ni picha ya pamoja baada ya kikao cha mrejesho kwa viongozi wa kata kilichofanywa na waraghbishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe kinachohusu maswala ya haki za binadamu #chukuahatua
Waraghabishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita baada ya kutoka kwenye kikao cha mrejesho wa haki za binadamu wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa serikali kata leo tarehe 3/4/2019 #ChukuaHatua@billmarwa@KefarMbogela@OxfamTz
ukombozi wa jamii yetu kujitambua umefika .pamoja najamii kusomewa mapato , na matumizi tujikite kuelimisha makundi ya wajasiliamali iliwafikiwe kujiajili wenyewe bila kutegemea misaada nikiwa Lulembela nikielimìsha wilayani mbogwe#chukuahatua.
Richa ya mvua zinazoendelea kunyesha kidogo kidogo ktk kjiji cha nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe maji ya kunywa baado ni changamoto kubwa hapa wananchi wanasafisha kisima ili wapate maji ya kunywa @prof kitila mkumbo @oxfam#chukuaHatua
Wanadamu tumepewa na Mwenyezi Mungu akili ya kutambua mema na mabaya.yote yaliyo mazuri hukubalika kwa Mungu na kwa wanafamu.Mungu hataki uvivu.Falsafa ya 'Hapa kazi tu'.Ni Dira ya maendeleo ktk Jamii yetu,kwani kazi ni uhai na kipimo cha utu.#ChukuaHatua@Tz_Kwanza
Changamoto kubwa kwenye Wizara ya Maji ilikuwa ni usimamizi mbovu kwa baadhi ya watendaji na wasimamizi wa miradi mbalimbali ya maji, Serikali inatenga fedha utekelezaji haukamiliki kwa wakati. Naibu Waziri wa Maji, Mbunge wa Pangani Mhe. Jumaa Aweso @KenTheRemedy@officialcza1
Hii ni choo ya shule ya msing iponya kata ya iponya wilaya ya mbogwe inamatundu kumi imekamilika nainatumika tunaishikuri halimadhauli mbogwe kwa ushirikiano wao
Waraghabishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe mkoa wa Geita leo tarehe 23/3/2019 wakiwa kwenye majadiliano ya mafanikio na changamoto za uraghabishi kupitia dijitali #ChukuaHatua@billmarwa@KefarMbogela@OxfamTz
katika semina waraghbishi wa (w)ya mbogwe ambayo iliwahusisha,mhe hakimu wa mahakama ya mwanzo,afisa utawi jamii (w)mbogwe,mkuu wakituo chapolisi msumbwe,Lengo kuu,kuangalia,Haki za binadam ktk jamii #ChukuaHatua@oxfam
juhudi za wananchi ktk maendeleo ya jamii wako vinzuri sana,ila ukamilishaji wamajengo hayo baado haudani kasi ya wananchi,hiyo ni chagamoto ktk jamii #ChukuaHatua@TZMsemajiMkuu@billmarwa@OxfamTz
Baadhi ya Watanzania waishio nchini Misri wamewasili katika Hotel waliyofikia klabu ya Simba kwa ajili ya kuungana na timu hiyo kwenda katika uwanja wa Borg El Arab kushudia mchezo baina yao dhidi ya Al Ahly.
MBODANET Tumekuwa na kikoa cha Waraghbishi wote tunaotekeleza Mradi wa Digitali Mbogwe. Kujadili changamoto na Mafanikio ya Jamii.kazi ni nzuri na yapo mabadiliko chanya ktk Maendeleo ya Jamii #ChukuaHatua@OxfamTz@MabalaMakengeza@TZMsemajiMkuu
mpango wa uchagiaji wa mfuko wa afya (CHF)iliyoboreshwa ni mnzuri sana,kwa @kaya yenye watu sita kiasi cha tsh 30000 kwkwa mwaka,je,katika watumishi wa zahanati za vijijini kuandikiwa kipimo tu,dawa needa dukani kanunueserikali hamlioni hilo?#ChukuaHatua@TZMsemajiMkuu@OxfamTz