Kama umeajiriwa na unataka kuacha kazi ili ujiajiri, soma thread hii kwanza.
Watu wengi wana tamaa ya kujitegemea. Unataka biashara yako. Unataka uhuru wa maamuzi. Unataka usimamizi wa mapato yako.
Lakini ukweli upo wazi.
— Uzi:⤵️
HIVI NDIVYO SAID SALIM AWADH BAKHRESA ALIVYOTOKA KWENYE UMASKINI MPAKA KUWA BILIONEA.
.
Kutoka kuuza mgahawa na ngozi za viatu mpaka kumiliki biashara kubwa hapa Tanzania na Baadhi ya sehemu za Afrika Africa.
Tajiri namba moja Tanzania
🧵Shuka Na Uzi 👇
Hatifungani vs. Uwekezaji Katika Biashara: Lipi Bora kwa Kukuza Utajiri?
Watu wengi hujiuliza kati ya kuwekeza kwenye Hatifungani au kuanzisha biashara. Njia zote zina faida na hasara. Hapa tunachambua njia hizi mbili na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa manufaa yako.
1. Hatifungani: Uwekezaji Salama Wenye Mapato ya Uhakika
💼 Aina ya Uwekezaji: Mapato ya pasipo moja kwa moja, hatari ndogo
📈 Faida Unazoweza Kupata:
✅ T-Bills (364 siku): ~11.2% kwa mwaka (baada ya kodi ya 10%)
✅ Hatifungani za miaka 10 (Coupon Rate 14%): 14% ya mtaji wako kila mwaka
🔒 Hatari: Chini sana – Serikali inahakikisha malipo
Faida za Hatifungani
✔️ Hakuna Hatari ya Biashara – Malipo ni ya uhakika.
✔️ Mapato ya Uhakika – Riba inalipwa mara mbili kwa mwaka.
✔️ Dhamana ya Mkopo – Benki hukubali hadi 80% ya thamani ya hatifungani kama dhamana ya mkopo.
✔️ Mtaji Salama – Pesa zako zinaendelea kuingiza faida bila hatari kubwa.
Hasara za Hatifungani
❌ Faida ya Taratibu – Haiwezi kukufanya tajiri haraka kama biashara.
❌ Fedha Kufungika – Huwezi kuuza haraka bila kushuka thamani.
2. Uwekezaji Katika Biashara: Faida Kubwa, Hatari Kubwa
💼 Aina ya Uwekezaji: Mapato ya moja kwa moja, hatari kubwa
📈 Faida Unazoweza Kupata:
✅ Ukuaji wa 20%-100%+ kwa mwaka
✅ Biashara inaweza kupanuka na kuleta faida kubwa zaidi
🔒 Hatari: Juu – Mafanikio hutegemea soko, ushindani na usimamizi.
Faida za Kuwekeza Katika Biashara
✔️ Ukuaji Mkubwa – Mtaji unaweza kuongezeka haraka.
✔️ Uhuru wa Kifedha – Biashara inakupa udhibiti wa mapato yako.
✔️ Fursa za Kupanua Biashara – Faida inaweza kuwekeza upya ili kuongeza mtaji.
Hasara za Biashara
❌ Biashara Inaweza Kufeli – Ushindani na changamoto za soko zinaweza kuathiri mapato.
❌ Mabadiliko ya Kipato – Kipato hakina uhakika kama hatifungani.
❌ Inahitaji Muda na Jitihada – Biashara inahitaji muda na ujuzi mwingi.
3. Lipi Bora? Njia Mseto!
Njia bora ni kuunganisha vyote viwili kwa usimamizi wa busara wa fedha.
✅ Anza na Hatifungani kwa Usalama wa Mtaji
✔️ Tumia T-Bills kwa akiba salama
✔️ Weka 20%-40% ya mtaji wako katika Hatifungani
✅ Wekeza Katika Biashara kwa Ukuaji
✔️ Tumia 60%-80% ya mtaji wako kwenye biashara
✔️ Faida inaweza kuwekeza upya kwa upanuzi
✅ Badilisha Faida ya Biashara Kuwa Hatifungani
✔️ Biashara inapoanza kupata faida, wekeza sehemu ya mapato kwenye hatifungani za muda mrefu
✅ Tumia Hatifungani Kama Dhamana ya Mkopo
✔️ Mfano: TZS 10M katika hatifungani inakuletea TZS 1.4M kwa mwaka
✔️ Hatifungani zinakusaidia kupata mkopo wa hadi 80% wa thamani yake (TZS 8M) kwa upanuzi wa biashara
4. Hitimisho: Njia Bora ni Kulinganisha Malengo Yako
🚀 Ikiwa Una Roho ya Ujasiriamali → Wekeza Kwenye Biashara
💰 Ikiwa Unatafuta Usalama wa Mtaji → Anza na Hatifungani
🎯 Mkakati Bora? Changanya Biashara na Hatifungani kwa Ustawi Endelevu
Kwa kuchanganya faida za biashara na mapato ya hatifungani, unajenga mfumo wa kifedha wenye nguvu ambapo:
✔️ Hatifungani zinalinda mtaji wako na kukuletea mapato endelevu
✔️ Biashara inakua haraka kwa kutumia mikopo inayotegemea hatifungani badala ya kutumia akiba zako binafsi
"Wajasiriamali wenye busara hujenga utajiri kwa biashara na mapato ya hatifungani!"
Je, unapendelea ipi—Biashara, Hatifungani, au zote mbili? Tuongee! ⬇️ #Ujasiriamali #Uwekezaji #Hatifungani #UhuruWaKifedha
@BankOfTanzania
Mfano wa Uwekezaji katika Hatifungani na Mkakati wa Kukuza Utajiri kwa Miaka 5
Njia hii ya kutumia hatifungani kama chanzo cha utajiri inaweza kusaidia mtu yeyote kuanza kukuza mali bila kuhatarisha mtaji wake. Badala ya kutumia pesa kununua mali moja kwa moja, unaweza kuwekeza kwenye hatifungani na kutumia mikopo kwa busara ili kuongeza mali zako bila kugusa mtaji wa msingi.
Tunaweza pia kuanzisha "Hatifungani Investment Club" kwa wale wanaotaka kujifunza na kutekeleza haya kwa vitendo. Kila mtu atafanya miamala yake moja kwa moja na Benki ya Tanzania bila kupitia mtu wa kati, ili kuepuka utapeli.
1. Masharti ya Mkopo
Kiasi cha mkopo: Tsh. 8,000,000
Riba ya mkopo: 17% kwa mwaka
Muda wa mkopo: Miaka 5
Njia ya marejesho: Reducing balance
Kwa kutumia fomula ya reducing balance, malipo ya kila mwezi (EMI) yatakuwa Tsh. 198,821 kwa mwezi, ambayo ni sawa na:
Jumla ya marejesho ya mkopo kwa miaka 5: Tsh. 11,929,236
Jumla ya riba inayolipwa kwa miaka 5: Tsh. 3,929,236
2. Mapato kutoka Hatifungani
Thamani ya hatifungani: Tsh. 10,000,000
Riba ya hatifungani (14%) kwa mwaka: Tsh. 1,400,000
Jumla ya mapato ya hatifungani kwa miaka 5: Tsh. 7,000,000
3. Je, Mapato ya Hatifungani Yanatosha Kulipa Mkopo?
Jumla ya marejesho ya mkopo: Tsh. 11,929,236
Jumla ya mapato ya hatifungani kwa miaka 5: Tsh. 7,000,000
Upungufu wa Tsh. 4,929,236
Kwa hivyo, mapato kutoka hatifungani pekee hayatoshi kulipa mkopo wote. Kuna upungufu wa takriban Tsh. 4.93 milioni ambao unatakiwa kuzibwa bila kuuza hatifungani.
4. Njia Mbadala za Kulipa Mkopo Bila Kuuza Hatifungani
A. Kununua Hatifungani Zaidi kwa Tsh. 8,000,000 ya Mkopo
Badala ya kutumia mkopo kwa matumizi mengine, unununue hatifungani za miaka 10 kwa riba ya 14%.
Hii inakuletea mapato ya ziada ya Tsh. 1,400,000 kwa mwaka (sawa na Tsh. 7,000,000 kwa miaka 5).
Hivyo, jumla ya mapato kutoka hatifungani mbili (ya kwanza na ya pili) kwa miaka 5 itakuwa:
Tsh. 7,000,000 (ya kwanza) + Tsh. 7,000,000 (ya pili) = Tsh. 14,000,000
Mapato haya yanatosha kabisa kulipa mkopo wa Tsh. 11,929,236 na hata kubakiza faida ya Tsh. 2,070,764.
B. Kutumia Mapato ya Kawaida (Biashara, Ajira, au Miradi Mingine)
Ikiwa hutaki kununua hatifungani nyingine, unaweza kutumia mapato yako ya kawaida kwa miaka 5 kulipia upungufu wa Tsh. 4,929,236.
Kwa mfano, ukitenga Tsh. 985,847 kwa mwaka kutoka kwenye mshahara au biashara yako, unaweza kuziba upungufu huu bila kuuza hatifungani.
C. Kufanya Refinancing Baada ya Miaka Miwili
Baada ya miaka 2, thamani ya hatifungani zote zitakuwa Tsh. 18,000,000.
Unaweza kutumia hatifungani hizi kama dhamana mpya kukopa tena kiasi kikubwa zaidi, kulipa mkopo wa awali, na kubakia na sehemu ya fedha kwa uwekezaji mwingine.
5. Hitimisho
Njia hii ya kutumia hatifungani kama chanzo cha utajiri inaweza kusaidia mtu yeyote kuanza kukuza mali bila kuhatarisha mtaji wake. Badala ya kutumia pesa kununua mali moja kwa moja, unaweza kuwekeza kwenye hatifungani na kutumia mikopo kwa busara ili kuongeza mali zako bila kugusa mtaji wa msingi.
Kwa hivyo, ndani ya miaka 2-5, unaweza kuwa na hatifungani za Tsh. 18,000,000, na pia utakuwa umelipa mkopo wako bila kuuza hata moja. Hii ni njia bora zaidi ya kujenga utajiri wa muda mrefu.
Tunaweza pia kuanzisha "Hatifungani Investment Club" kwa wale wanaotaka kujifunza na kutekeleza haya kwa vitendo. Kila mtu atafanya miamala yake moja kwa moja na Benki ya Tanzania bila kupitia mtu wa kati, ili kuepuka utapeli.
Je, una maoni gani kuhusu mpango huu?
Habari wadau hoja ya @KingPablotz kuhusu Mfano wa Uwekezaji katika Hatifungani na Mkakati wa Kukuza Utajiri kwa Miaka 5, unaweza kuwekeza kwenye hatifungani
@Nizar1
@Petermara30@piusfx_mcrypto@zonzo001
@ormystatus
@EMdimilaje@josephjob76@Bein_bee
@middle_mpana
@virginbrain_@_Nation360@HANIIKESSY@mwasandubejr@jonijoo99@RomanSabinus@mankipinde@MDAU_Jr@musur304580391@mapandejr@GodloveNJames@Robert3robert@HybridKassa@costantino322@Juto_khaji
@Samuel55897228u
@KingPablotz #5. Naomba nitoe mfano halisia haya matokeo ya Mnada wa tarehe 22.01.2025... Bondi ndiyo deal kama unataka kujenga utajiri au nyumba na ukiwa na cash 20mil na unaweza kujenga kwa hiyo pesa, ila bora ununue Bondi kwanza.. Kisha kopa kwa dhamana ya Bondi then jenga kwa mkopo.
@jonathanmnyela@NassirMosley1@KingPablotz@jonathanmnyela
Kuna namna naweza pata namba yako kuna maswali private nataka kukuuliza kuhusu bonds za serikali plus namna process hizo za mikopo kwa dhamana ya bonds plus marejesho ya bank na mengineyo kuhusu bonds
@NassirMosley1@KingPablotz #1. Naomba nikuelezee vizuri. Mfano Bondi ya 6m itapata faida ya 843k+ sawa na 14%. Kwa kuwa umesema Bondi unaweza kuwa dhamana.. utapata 80% ya thamani ya Bondi.. Mfano huu wa 6mil..utapata mkopo wenye thamani ya 4.8mil, mfano kwa 16%.
@JNkanija@KingPablotz #2. Kama Bondi inatumika kama dhamana..basi inafaa tu kama jinsi nyumba yenye hati inaweza kutumika kama dhamana. Tatizo linaanzia hapa: Je, ni wangapi wanadhama ya nyumba kuweza kukopesheka? Hata ukiwa nayo hiyo dhamana ya nyumba. Hakuna benki itakupa mkopo ili uanze biashara.
Bro, najua hiyo Tshs 8,000,000/= unawaza kununua VITS ili ionekane umenunua gari. Ni kiasi kidogo, Lkn kinaweza kubadili maisha yako. Uki-invest vizuri inaweza kukuingizia 58M for 2yrs ONLY.
Nisikilize, achana na gari, hebu tuiweke ktk biashara within short time uone mafanikio👇
Bro kama unayo M15-18 usikimbilie kununua gari huku unaishi nyumba ya kupanga. Jenga Block yako (vyumba 2, sebule, jiko, choo) na hakikisha unapiga hatua kuelekea kwenye Jumba la ndoto yako.
Kila ndoto inaanzia kwenye hatua ndogo. Nakupa mchanganuo mfupi utoke nyumba ya kupanga.
BOMA
Kipengele A
Hesabu ya msingi na mkanda
-Tofali 1500
-Cement 28
-Nondo 20
-Mbao za kukodisha 70
-Mbao 2by2 7
-Msumali kg 5
-Ring pembe 3 150
-Bydingwire kg 2
Je, Una mtaji na hujui ufanye nini? Huna ideas?
SHuka nami fursa za biashara na miradi 152 ya kufanya
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 👇👇👇