@IAMartin_@TunduALissu@SuluhuSamia Hiyo ni mbinu ya kuomba kupandishwa cheo, hawajajifuza na hawajui mafanikio kupitia damu za watu ni laana kwako na kizazi chako.
Mh mimi si mchukii Jiwe nachukia uuaji wake nachukia ukatili aliofanyia hasa wa kimara. Fikiria wazazi wa Ben saa8 mtoto kauwawa bila kosa kisa kukosoa PHD magumashi ya Jiwe. This guy was evil and devil.