@Chundaboi@KajulaAkan1@Mkunga_Og Hapo dokta kadanganya wacheni uongo, kuwahi au kuchelewa kukojoa inategemea sana na mtu na mazingira husika. Na dk 1 mpaka 3 au 5 au 7 ni normal kwa bao la kwanza
@Mkunga_Og Umetudanganya nyinyi ndio munafanya watu wote wajione wana matatizo ya nguvu za kiume na kuwafanya watumie madawa ya kuongez nguvu. Kwa dakika 1 mpk 3 kwa bao la kwanza ni normal kabisa wacha kupotosha.