Mwanzoni utaonekana unazurula tu, unapotafuta Mafanikio ya kimaisha hawatoyaona. Ila ukifanikiwa utaeleweka na kusikilizwa kwa urahisi sana. Don't stop your Hustle, Keep going mpaka ufanikiwe ili waweze kukuamini.
#jiBuild💪
Kama vipimo vimeonyesha Una Virusi vya UKIMWI n Bora kuchukua hatua ya kumlinda mwenza wako na Jamii nzima ili kuepuka ongezeko la maambukizi mapya ya UKIMWI kwenye jamii
#RafikiKapimeHIV