@dinno_mwija@ambobattle Watu chini ya miaka 18 hawana NIDA ukumbuke, halafu mambo ya kuweka kidole sehemu moja kwa watu wengi kiasi hicho kiafya haijakaa sawa kuna kuambukizana magonjwa. Kuja na kitambulisho chako chochote mimi naona ni sawa hata Airport wanafanya hivyo kwa hiyo ni jambo la kawaida
@dinno_mwija@ambobattle Kitambulisho ni kwa ajili ya kuhakikisha majina ya kwenye ticket yanaendana na mtu anayekuja kupanda. Hii ni kwa ajili ya kuzuia ulanguzi wa tickets
@Christophe11096@EdmondTRL@mkemi4mkUu@KennedyMmari Toka 2016 hadi saivi tuna mawaziri wa elimu 2 tu na wa sasa hivi ana zaidi ya miaka 3 kwenye position ambayo inatosha kabisa kufanya mageuzi kwenye mfumo wa elimu
@mudisolar@IAMartin_ Hiyo kitu ilikuwa kipindi cha Korona, ilipitishwa Sheria daladala na mwendokasi lazima iwe level seat, so hapo hata kwenye daladala ilikuwa yale yale
@kikotiofficial@JamiiForums Hapo anamaanisha wataalamu wa Electrical na Mechanical. Kwenye Kiswahili mechanical engineering inatafrisiliwa kama uhandisi mitambo, kwa hiyo mtaalamu wa mechanical lazima ataitwa mtaalamu wa mitambo
@Alphakiria@jedrick88@prossoff Hata vyuoni kwenye course za uhandisi kuna vipindi vya theory na practical. Yale maelekezo unayopewa unapofanya practical ndio practical yenyewe na ndio inavyofundishwa duniani kote. Kwa ulivyomaanisha inabidi vipindi vya practical vibadilishwe majina kama vitahusisha maelekezo
@MtoroAbdul@ze_mandevu Kwa sheria zipi za utumishi wa umma ambazo zinaruhusu mtu kupata perdiem akiwa ndani ya mji wake huo huo kwenye eneo la kituo chake cha kazi
@Sisimizi3@MpokeaMaono@eastafricatv Vyuo vilivyo chini ya NACTE vinatumia mfumo wa NTA levels, ambao kila mwaka wa masomo unakuwa ni level flani, kwa mfano mwanafunzi aliyeko mwaka wa tatu kwenye uhandisi anakuwa level 7 ambayo pia inaitwa high Diploma. Unaweza ukaishia hapo na ukawa na hiyo high Diploma
@BenedictoRock@MiriamMkanaka Kabla hamjafika hiyo peak Yanga ilikuwa tayari ilishawahi kumkalisha Al alhly taifa muda tu, kwa hiyo hakuna jipya mlilolifanya, mlikuwa mnarudia tu yale kaka zenu walishawahi kufanya
Google walitoa AI yao mpya Gemini AI ambayo imemuzid chat GPT 4 kila kitu kuanzia kwenye uwezo hadi data inazotumia
Weng hawajui inafanyaje kazi, namna ya kuitumia na ni BURE kabisa
UZI huu unaeleza namna ya kuitumia na uwezo mkubwa wa kuchakata picha, PDF, Video n.k
REPOST