@TunzeIdrisa @mdudechadematz @SuluhuSamia Duh, umeelewa hoja yake kweli!! Hoja yake ni wingi sio uwepo wao, pia kukosekana kwa wateja/wadau wa mahakama. Eleza km idadi yao sio kubwa n wadau wapo au hawanaumuhimu. Km umeelewa hoja yake sema nani ni kuku alokatwa kichwa wewe au mdude!
@freemanmbowetz Hatuhitaji katiba mpya kama zawadi ya yeye kupita 2025, katiba mpya ya wananchi ni mwendelezo wa rasimu ya Warioba haihitaji muda mwingi wala mashauriano ya individuals!