@ahmedomarkhamis @AdoShaibu@ACTwazalendo Wewe na nani? kupitia chama gani?mwaka gani? hatuongelei CUF . unakifahamu chama cha zambarau Wana kesi ngapi mahakamani, lini kiongozi wa chama alishapitia ngija ngija za watawala? usiongelee nafsi tunaongelea taasisi/ inayoitwa ATC.
Neno kwa niaba hutumika pale tu ambapo mtu aliyetakiwa kufanya jambo hilo hayupo swali ni je sisi watanzania hatupo???
Kwa nini tunaendelea kubaki Na katiba ambayo hatukuitunga?
The caricature explains it all. Ester Matiko doesnโt represent any opposition party in #Tanzania. Speaker Job Ndugai conspires with her to lie to the world. @IPUparliament has facilitated these political goons to deceive the world. Shame! Ndugai is a threat to our democracy.
@son_lenox@IAMartin_ Ni vyema. kwa umri wa Jenerali katiba ina umuhimu gani kwake ukilinganisha na wewe/mimi. Je, kwa nini ana ipigania katiba? wakati vijana wamebaki kushabikia mipira, na mambo ya ovyo. nadhani ni utofauti wa kizazi, kizazi cha sasa Ni cha ovyo, cha ubinafsi, kuridhika,